Skip to main content

Posts

Featured

2025 Life Lessons

Hellow, Habari.. Karibu katika ukurasa wangu, leo nitashare vitu nilivyojifunza mwaka 2025. 1. Umuhimu wa kutambua wewe ni nani, na unataka nini na unataka ufike wapi. Nimeona dunia inatoa options nyingi za mtu kuchangua, na kuna wakati ina recommend nini uangalie au nini ufanye, lakini pia kuna watu mbalimbali wanakuona unafaa kwenye maeneo fulani...lakini mwisho wa siku wewe ndio unapaswa kufanya maamuzi ya nini ufanye na nini usifanye kulingana na unachokitaka. Kuwa na kitu unachokitaka, au nnaweza kusema kuwa na malengo, alafu fanya tathmini ya nini au nani unamuhitaji ili uweze kupata unachokitaka au uweze kufikia malengo yako. 2. Focus na unachokitaka. Vijana wengi tumekuwa na mipango mingi ambayo haitimii, leo unapanga hili kesho unafanya lingine, kesho unapanga lingine hili halijaisha unajaribu lingine. Kitu nilichojifunza ubora unatokana na uzoefu, pale ambapo mtu anachagua kitu na anawekeza katika hicho hadi kinasimama na kuwa bora zaidi, hivyo consistency ni muhimu katika ku...

Latest Posts

Standing Strong Amid Pressures

No More

Hungry birds

OIL CAN'T BE ENOUGH.

The Cry

SKIP YOUR WORRIES// QUICK REMINDER

My first Encounter with God

ALL IS WELL

WAKATI WA KUZAA MATUNDA (TIME TO BEAR FRUITS)

Lost Identity.....