Posts

Showing posts from March, 2022

DONT WORRY, IT WILL BE FINE, KILA KITU KITAKUWA SAWA.

                                                 Maisha ni mkusanyiko wa matukio mengi, ambayo, dhamira yake ni kutufundisha, kuturekebisha ili kufikia hatima zetu nzuri ambazo Mungu ametupangia.. Lakini maisha haya yamejaa mitego na mafumbo mengi ambayo watu wengi tumeshindwa kuyatatua, ni kama mafumbo ya kwenye hisabati, ukiipata thamani ya X, hiyo itakusaidia kupata thamani ya Y, na wakati mwingine pia X na Y ndo zitatumika kumpata Z. Mafumbo haya yanahitaji UVUMILIVU , UTULIVU , HEKIMA , SUBIRA, IMANI na MAARIFA na mengine mengi ili kuweza kuyafumbua MUNGU ATUSAIDIE SANA This is my before                                                                                                                              Nimekuwa mtu wa kila aina, kwa kipindi kichache nilichoishi, na kwa asilimia kubwa nimekua mtu wa kuogopa sana, hasa katika maswala yanayohusu maisha yangu. kila asubuhi yangu, ilianza na maswali mengi sana, kwamba leo itakuwaje, what if nikafanya kazi nisipate ela, ita