Posts

Showing posts from January, 2022

WAKATI WA KUZAA MATUNDA (TIME TO BEAR FRUITS)

  WAKATI WA KUZAA MATUNDA (TIME TO BEAR FRUITS)   YOHANA 15:1-5 “ Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima, kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu name ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote .” Tuanze na neno matunda.. ni matunda gani kristo alikuwa akiyanzungumzi a Mungu alitupa kazi moja tu, Enendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wake (Mathayo 28:19) , Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri injili kwa kila kiumbe (Marko 16:15)   MATUNDA..NI (kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa krisro, kwa njia moja tu ya kuihubiri injili.   Ni wajibu wa kila muamini kuihubiri injili ya