Posts

Showing posts from 2021

I lost My identity.....

Ubinadamu umekuwa bora sana hasa kwenye karne hii, na wakati kama huu, kwa namna vile Mungu ametuumba, na kutupa kitu kiitwacho kumbukumbu.. Neno hili kumbukumbu limekuja kutokana na uwepo wa neno kusahau. Kila aliye binadamu anaweza kusahau na pia kukumbuka. Hali hii au tabia hii ya kusahau na kukumbuka imepelekea neno ubinadamu kuwa na nguvu na ikapelekea kuwepo na sababu za kibinadamu. Leo hii nimeshangazwa sana na uwepo wa uhalisia wa neno hili “ I lost my identity” kwenye maisha yangu Unaweza sema labda linatokea kwa wagonjwa wa akili au watu pengine waliochanganyikiwa la hasha, neno hili limethibitika kutokea hata kwa mtu wa kawaida ambae hana tatizo lolote pale tu anaposhindwa kujua vitu flani flani. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ πŸ‘€πŸ‘€Wengi wetu tunafahamu kwamba ni rahisi mtu kusahau kitu pengine alichokihifadhi au labda kusahau kumpigia mtu simu au kutuma massage na kadhalika, lakini ni vigumu sana kwa wengi wetu kusahau wao ni nani… Nitatoa mfano.. Je umewahi kusahau jina lako…