Posts

Showing posts from June, 2019

Moyo wa Mtu ni Kama Kichaka

Mtu si kitu hata awe vile utakavyo, maana unaweza fanya kitu kuwa vile unavyotaka wewe... mtu nnayemzungumzia hapa ni yule ambae ana utu ndani yake, na utu huo ni upi, utu huu ni ule utu wa ndani ya mtu yaani nafsini mwake... lengo langu si kukujulisha maana ya utu, ila ni kukukumbusha tu kuwa mtu ni mtu.. Tumekuwa tukiwapa nafasi na uthamani baadhi ya watu, na kuweka imani zetu juu yao, labda kwamba hawawezi kukosea, au labda mtu fulani hawezi kufanya jambo hili, au pia labda hawezi kushindwa.. hiyo imetupa tabu sana pale ambapo tumesikia au kuona tusivyovitarajia kwa watu hao, Wengine hatuendi kanisani eti kwasababu mchungaji au padri ametenda dhambi.  na wengine eti tumeshindwa kuendelea kwasababu fulani alishindwa, eti fulani alisema ameshindwa kwahiyo me siwezi.. eti, kama yeye alishindwa me nawezaje.. Maana yaliopo sasa ni kunyoosheana vidole tuuu, eti fulani nae kafanya hivi, eti nae anaongea hivii..imani kwa Mungu imepungua eti tu kwasababu ya kiongozi mmoja wa di

To my fellow collage age friends

Image