Posts

Showing posts from April, 2018

Use faith as a bridge into your success

Imani... Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ni bayana na mambo yasiyoonekana.....    Siku moja nilikuwa nafanya mtihani wangu wa mwisho wa semister, mitihani haikuwa mirahisi, vitu vilikuwa vingi kwangu...na moyoni mwangu nikadhamiria kutokupata supplementary na nafsi yangu ikawa inaniambia mambo yote yanawezekana kama nikiwa na imani.....    Nilikuwa napita kwenye kipindi kigumu, nikiwa na maswali mengi..kama "nifanyaje imani yangu ikue ili nisifeli,..niki muomba Mungu sana nisipite huko na niwe na imani..........     Lakini Mungu aliniaidia sikupata supp hata somo moja...kitu ambacho kwa uhalisia isingewezekana...   Kutoka hapo imani yangu ikaongezeka sana kwa mungu..upendo wangu kwake ukazidi kuongezeka siku hadi siku....    Namshangaa shetani katika kipindi hicho Ambacho nazidi kumpenda Mungu, yeye akazidi kujionyesha dhahiri hadi nikaanza kumtambua kwa macho....        Kitu ambacho napenda nikushirikishe ni hiki... Shetani ni adui wa roho na nafsi zetu...h

Silence

I begin to love how silent. My world became somehow ... underwater. Not visible our words, our tears. A silence stops hurting. Until yesterday was heavy. As wound. The most acute of all silence. The most difficult. And the biggest. But imperceptibly became part of me. silence is very importance if want to have focus and well concentrating on your things.... even Jesus did it... when he went to the mountain, alone praying.... enjoy the silence