Na hii ni kwa vijana wote wa kike...
vijana wengi wa kike tunatabia ya kubeba vitu katika mioyo yetu na kutoruhusu viondoke,,,,

  Na hii imesababisha matatizo mengi ya kibinafsi(personal conflicts), kama kuvunjika moyo,kutokuamini tena ,kutokupenda tena au kutokufurahia maisha yako na wakati mwingine inapekekea kudhoofika kwa afya yako.

   Kama kijana jifunze jinsi ya kuachilia vitu viende, na kuruhusu moyo wako kuanza upya.. (renew your mind) ukiwa na nguvu mpya.

   Usiruhu moyo wako kujazwa na maumivu, huzuni, hasira, kwasababu vitakupotezea muda wako na kukufanya ushindwe kuendelea mbele

       wewe ni wa thamani sana mbinguni na duniani. 
                Ishi ukitambua thamani yako

Comments

Dont miss these ones

Where our HoPe IS....??

LET ME KNOW YOUR MISSION IN MY LIFE

Moyo wa Mtu ni Kama Kichaka