@hollysteps

nimepata kujua kwamba,kila mwanadamu ana uwezo wa kiroho na kimwili, na pia ana nafasi kubwa kumsikilia mungu, na kutumika na mungu katika viwango vikubwa... 
 Na kuna baadhi ya watu wamepata neema hiyo ya kumsikiliza na kutumika na baadae wakapunguza unyenyekevu mbele za mungu...
Na mwisho wanakufa kiroho.....

Mpendwa, Mungu wetu ni mwema sana na hua anawasikiliza wote wamuombao kwa roho na kweli... hakikisha unaongozwa na roho mtakatifu  katika kila jambo unalolifanya ukiepuka kujikwezwa mbele za wanadamu na mbele zake MUNGU

Comments

Dont miss these ones

Where our HoPe IS....??

LET ME KNOW YOUR MISSION IN MY LIFE

Moyo wa Mtu ni Kama Kichaka